Jeremiah 7:13-15

13 aMlipokuwa mnafanya yote haya, asema Bwana, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza; niliwaita, lakini hamkujibu. 14Kwa hiyo, nililolifanyia Shilo, nitalifanya sasa kwa nyumba hii iitwayo kwa Jina langu, Hekalu mnalolitumainia, mahali nilipowapa ninyi na baba zenu. 15 bNitawafukuza mbele yangu, kama nilivyowafanyia ndugu zenu, watu wa Efraimu.’

Copyright information for SwhKC